Mpango wa Bonde la mto Msimbazi ili kupunguza Mafuriko kama ulivyofadhiliwa na shirika la umoja wa mataifa (UNDP).

Mpango wa Bonde la mto Msimbazi ili kupunguza Mafuriko kama ulivyofadhiliwa na shirika la umoja wa mataifa (UNDP). LECIDE ilishiriki kikamilifu katika kuandaa mpango wa matumizi ya ardhi katika Bonde la mto Msimbazi jijini Dar es Salaam. Kazi hii ilianza mwezi Februari 2018 na kuisha mwezi Oktoba 2018. Mpango huu ulishirikisha NGOs mbalimbali, wataalamu wa serikali kuu na mitaa, pia viongozi mbalimbali. Matokeo ya mpango huu yamewasilishwa serikalini kwa utekelezaji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *