Picha

Miundo mbinu ya majengo ya shule ya msingi Masisiwe
Chanzo:Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba 2016

Muonekano wa sura ya nchi katika Kijiji cha Masisiwe
Chanzo: Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba 2016

Sehemu ya Mto Ijangala unaotiririsha maji yake kwenda Ziwa Nyasa
Chanzo: Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba 2016

Chanzo cha Maji ya bomba kijiji cha Masisiwe
Chanzo: Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba 2016

Wananchi wa Kijiji cha Masisiwe wakipanda Miti kwa ajili ya uhifadhi wa chanzo cha maji
Chanzo: Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba 2016

Mawe meusi Ma`sisiwe ambayo ndio asili ya jina la Kijiji cha Masisiwe
Chanzo:Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba 2016

Miliki za ardhi zilizopo
Chanzo: Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba, 2016

Aina ya mazao ya miti inayolimwa kijijini
Chanzo:Serikali ya Kijiji na Mikutano ya Vitongoji; mwezi Novemba, 2016

kuonyesha matumizi ya sasa ya ardhi Kijiji cha Masisiwe

Wajumbe wa Mpango wa matumizi bora ya ardhi (VLUM) kijiji cha Masisiwe
Chanzo: Halmashauri ya Kijiji cha Masisiwe, Novemba, 2016

Wajumbe wa baraza la ardhi la Kijiji cha Masisiwe
Chanzo: Halmashauri ya Kijiji cha Masisiwe, Novemba, 2016

Mpango wa Matumizi bora ya arhi ya kijiji cha Masisiwe

Picha mbalimbali za mkutano wa kijiji kupitisha mpango wa matumizi bora ya ardhi
Baadhi ya wananchi wa mkutano wa kijiji cha Masisiwe wakati wa kupitisha mpango wa matumizi ya ardhi kwa miaka kumi ijayo (2016-2026)

Baadhi ya wananchi wa mkutano wa kijiji cha Masisiwe wakati wa kupitisha mpango wa matumizi ya ardhi kwa miaka kumi ijayo (2016-2026).

MAHALI KILIPO KIJIJI CHA LILOMBWI, WILAYA YA NJOMBE MJI

MITO, MILIMA NA MITIRIRISHO YA MAJI, KIJIJI CHA LILOMBWI

PICHA YA ANGANI (SALELITTE) YA KIJIJI CHA LILOMBWI

MATUMIZI YA ARDHI YA SASA (2016) KIJIJI CHA LILOMBWI

MPANGO WA MATUMIZI BORA YA ARDHI KWA KIJIJI CHA LILOMBWI MWAKA 2016-2026

Baadhi ya wananchi kwenye mkutano wa kijiji wakati wa kupitisha mpango wa matumizi ya ardhi wa miaka kumi ijayo (2016-2026)

Baadhi ya wananchi kwenye mkutano wa kijiji wakati wa kupitisha mpango wa matumizi ya ardhi wa miaka kumi ijayo (2016-2026)

Mfumo wa Wilaya ya Kisarawe Mpango wa Matumizi ya Ardhi 2011-2021.

Mpango wa Matumizi ya Kijiji cha Lilombwi (Mji wa Njombe) 2016-2026.

Mpango wa Taifa wa Matumizi ya Ardhi Mpango 2013-2033.