Habari & Matukio

LECIDE ilishiriki kwenye mkutano wa wataalamu wa mipango miji na vijiji uliofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba 2018.

Posted on

LECIDE ilishiriki kwenye mkutano wa wataalamu wa mipango miji na vijiji uliofanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba 2018. Mwenyekiti wa LECIDE aliwasilisha mada inayohusu Upitakanaji fedha kwa ajili ya kupanga matumizi ya ardhi vijijini kwa ajili ya kupunguza umaskini. Anayetaka kusoma mada hiyo anaweza kuipata. Pakua Taarifa.

Habari & Matukio

Mpango wa Bonde la mto Msimbazi ili kupunguza Mafuriko kama ulivyofadhiliwa na shirika la umoja wa mataifa (UNDP).

Posted on

Mpango wa Bonde la mto Msimbazi ili kupunguza Mafuriko kama ulivyofadhiliwa na shirika la umoja wa mataifa (UNDP). LECIDE ilishiriki kikamilifu katika kuandaa mpango wa matumizi ya ardhi katika Bonde la mto Msimbazi jijini Dar es Salaam. Kazi hii ilianza mwezi Februari 2018 na kuisha mwezi Oktoba 2018. Mpango huu ulishirikisha NGOs mbalimbali, wataalamu wa […]